Social Icons

Wednesday, February 1, 2012

LIBENEKE JIPYA WADAU LINAKWWENDA KWA BUKOBA WADAU,SAPOTI MUHIMU

Ndugu habari yako, napenda kuitambulisha blog yangu ya Bukobawadau
http://www.kajunason.blogspot.com/ ambayo ni HABARI NA MATUKIO kwa wadau wa
Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla. Ningependa unipe link ili wadau waweze
kuitembelea na kuifahamu zaidi.

Asante sana kwa ushirikiano wako.
Mc Baraka Galiatanp
BUKOBAWADAU BLOG
UNITED KINGDOM WARE HOUSE BUILDING
P.O Box 316
BUKOBA.
Tel: +255 715 505043
      +255 768 397241
      +255 784 505045
      +255 754 505043
      +255 713 397241

No comments:

 
 
Blogger Templates