Social Icons

Monday, November 28, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SIKU WA VIONGOZI WA TAKUKURU-TANGA

  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Takukuru, Edward Hosea, mara baada ya kufungua ramsi mkutano Mkuu wa mwaka wa siku mbili wa Viongozi wa Takukuru uliofunguliwa leo Novemba 28, mkoani Tanga. Picha na Muhidin Sufiani-OMR 

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa usalama wa Mkoa wa Tanga baada ya kufungua mkutano huo.

No comments:

 
 
Blogger Templates