Social Icons

Friday, November 4, 2011

JUMAA KARIM WADAU ,NAWATAKIA MAANDALIZI MAZURI YA EID EL HAJJ

Asalaamalaikum wadau wa Blogu ya Bongoweekend pichani ni  mimi nadau wangu kutoka kulia ni  Chalila Kibuda  tukiungana  na waumini wote wa dini ya Kiislamu ambao wako katika ibada ya Hijja ambapo leo ni siku ya Arafa  ambapo Mahujaji hupiga mawe ikiwa ni ishara ya kumlaani sheitwan. EID MUBARAK

1 comment:

Anonymous said...

Umetoka bomba km mke wa mfalme hehee.

 
 
Blogger Templates