Social Icons

Friday, October 14, 2011

RIP MPENDWA WETU JUMA PENZA

MAREHEMU JUMA PENZA

Mwenyekiti wa CCM,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Kada wa Chama Cha Mapinduzi na mwandishi wa habari Mwandamizi, marehemu Juma Penza wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo jioni
(picha na Freddy Maro). 
KAPTENI CHILIGATI NAYE ALIKUWEPO

Swahiba wa marehemu Athuman Janguo akiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu Juma Penza aliyezikwa kwenye ,makaburi ya Kisutu jana.
Mstahiki Meya wa Ilala, Jerry Slaa akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Penza.
Kulia ni mtoto wa Kwanza wa marehemu 'JP' mwenye kanzu Mashaka Penza.
Rais Jakaya Kikwete akikizungumza na wajukuu wa Marehemu Mzee Juma Penza wakati wa mazishi ya babu yao.
Waombolezaji wakiusalia mwili wa aliyekuwa Katibu Msaidizi Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, Juma Penza, nyumbani kwake, Gongola Mboto Mwisho wa Lami, kabla ya mazishi yaliyofanyika katika kwenye makaburi ya Kisutu. 
(Picha na IDARA YA UENEZI CCM).
                                              Mashaka Penza akitia udongo katika kaburi la babayake.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akibadilishana mawazo na Mpigapicha Mwandamizi wa magazeti ya Serikali Habari Leo na Daily News, Muhidin Issa Michuzi (kulia) walipokutana kwenye msiba wa Juma Penza, Gongola Mboto Mwisho wa Lami Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Mtangazaji mwandamizi wa Uhuru FM, Stephen Mhina Dungumaro. Michuzi pia ni Mkurugenzi wa Blogu ya Michuzi.

1 comment:

Jigambe Team said...

mungu amlaze maala pema peza pia blogu hii naishukuru kwakutupatia habari hizi muhimu pia tunamkaribisha katika site yetu www.tanzaniakwetu.com ili awe na viewer wengi wa kutosha na jigambeads.com apate matangazo ya kutosha na nibure.

 
 
Blogger Templates