Social Icons

Saturday, April 2, 2011

MUUMIN NA WAPYA WENGINE WA TWANGA KUTAMBULISHWA VATICAN


2 comments:

Anonymous said...

Muumuni nae amezidi kuhangaika,ajue kuwa anapoteza muda na pia kuzidi kulifukia jina lake,cha kushangaza ni kuwa hakai bendi moja kwa muda mrefu,nadhani bendi yake imemshinda kuongoza na sasa inabidi tu awe mtu wa kuajiriwa,na si ajabu tukasikia tena amehama.Ni muimbaji mzuri lakini aangalie na tabia yake,huu ni ushauri wa bure.
mpenzi wa muziki,Dar.

Anonymous said...

Ajabu jamani !!!Muumini Twanga tena???Itabidi aende kwa babu Loliondo kwanza akapate kikombe ndipo aje aanze kibarua Twanga,maana amezidi kuhama bendi,nadhani wamiliki wa bendi itabidi wawe chonjo sana na huyu bwana,nina uhakika akipata kikombe cha babu,atapona na aweze kutulia kwenye bendi mojaJ.J.Kinondoni.

 
 
Blogger Templates