Social Icons

Monday, January 17, 2011

NJENJE KWANOGA SALENDER BRIDGE

Waziri kabanwaa. Hapa nikupapasa kinanda na kuimba. Tukajiachiiiaaaa na wimbo wa mambo ya Kisebusebu na Kiroho Papo cha Njenje.
Hapa ilikuwa ngoma ya Ngandempa ni full Maswagalicious.
Salma na Nyota.


Waziri Ally na Babu Njenje.


No comments:

 
 
Blogger Templates