Social Icons

Friday, December 31, 2010

WADAU MIMI NA WATOTO WANGU TUNAWATAKIA HERI NA SALAMA KATIKA KUUAGA 2010 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2011

Wadau kama kichwa kinavyojinadi hapo juu mimi na watoto wangu wapendwa Fatma'Fetty au Chattie' na Baby Ashraf 'Shillah' tunawatakia wote Heri ya Mwaka mpya 2011 Inshaallah tukijaaliwa kuuona.Pia kuuaga salama mwaka 2010 ambao kwa upande wetu haukuwa mbaya saaana.Nachukuwa fursa hii kuwashukuru wote walio tusababishia tabasamu katika mioyo yetu maana na kutuwezesha kufika hapa tulipo huku tukitafakari kuanza ukurasa mwingine wa maisha.Pia nawashukuru ndugu , jamaa na marafiki ambao wamekua pamoja nasi siku zote za maisha ni vigumu kuwataja kwa majina lakini kwa ujumla nasema ASANTE SAANA, NIWAPENDAE KHADIJA KALILI /LINDA SHEBBY ak.a ADIDJAH.

2 comments:

Simon Kitururu said...

Heri ya Mwaka Mpya Kwenu pia!

Asante kwa yote uliyotuwekea hapa kijiweni ADIDJAH!

Unknown said...

Mungu akukuzie ndugu yangu.

 
 
Blogger Templates