Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na familia ya Hayati Edward Moringe Sokoine aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Baada ya kuzindua kitabu hicho.
Rais Dkt. Samia akibonyeza kitufe kuashuria uzinduzi wa Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wa Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Uzinduzi huo umefanyika leo Septemba 30 kwenye Kituo Cha Kimataifa Cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
Familia na viongozi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wa Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Uliofanyika kwenye Kituo Cha Kimataifa Cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam leo tarehe 30 Septemba 2024.
0 Comments