na kuimarisha uhusiano uliopo kwa manufaa ya nchi hizo. AmesemaJapan itaendelea kushirikiana na Tanzaniana kuongeza biashara na bara la Afrika ili kuhakikisha maendeleo ya kweli yanapatikana. Mhe. Chumia yuko nchiniJapan kuhudhuria Mkutano wa Tisa wa Kimataifa wa Tokyokuhusu Maendeleo ya Afrika (TICAD)ngazi ya Mawaziri utakaofanyika jijini Tokyo tarehe 24-25 Agosti 2024.
MIAMBA YATEMBELEA MWAMBA WA NGORONGORO
-
Ikiwa ni majira ya Masika na kiubaridi, Bustani ya Eden ya Ngorongoro
ikizungukwa na kingo zenye urefu wa Mita 610 huku wanyama na ndege
wakichagiza ...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments