Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) John Wanyancha, akiwasilisha mada ya utendaji na changamoto za kampuni hiyo kwa wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bajeti, walipotembelea kiwanda cha Mwanza jana.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Hawa Ghasia(katikati) akiongozwa na mwenyeji wake Mwanzilishi wa kiwanda cha bia Serengeti tawi la Mwanza Christopher Gachuma(kushoto), walipotembelea kujionea utendaji na changamoto,jana, kulia ni mjumbe wa kamati hiyo Albert Obama.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji Prof Elisante Ole Gabriel(katikati) akifurahia jambo na Mwanzilishi wa kiwanda cha bia Serengeti tawi la Mwanza Christopher Gachuma(kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bajeti Albert Obama, wakati wa ziara ya kamati hiyo katika kiwanda cha bia cha Setrengeti jijini Mwanza jana kujionea utendaji mapema wikiendi hii.
PIGA MSHINDO WA MAANA NA MERIDIANBET LEO
-
Leo hii mechi zote za kufuzu kwa Afcon zinaenda kumalizika ambapo kuna timu
ambazo tayari zimeshafuzu na zingine bado. Tanzania itakuwa kibaruani leo
k...
PIGA MSHINDO WA MAANA NA MERIDIANBET LEO
-
Leo hii mechi zote za kufuzu kwa Afcon zinaenda kumalizika ambapo kuna timu
ambazo tayari zimeshafuzu na zingine bado. Tanzania itakuwa kibaruani leo
k...
KONGAMANO LA KODI LAANZA JIJINI DODOMA
-
*Kamishna Msaidizi Idara ya Sera, Wizara ya Fedha, Bw. Juma Mkabakuli (wa
kwanza kushoto) akiwa na Kamishna Msaidizi Idara ya Sera, Wizara ya Fedha
Bw. Wi...
MAPOKEZI YA MLEZI WA CCM MKOA WA KATAVI DKT.DIMWA
-
MLEZI wa CCM Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,akivishwa skafu na Vijana
wa kun...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments