Mkazi wa Arusha Mzava Nsanjiwa akitazama jiko linalotumia nishati ya jua katika banda la Kampuni ya Sola ya Sunking katika maonyesho yaliyofanyika kwa ajili ya kuhamasisha wakaazi wa Arusha kutumia bidhaa za sola zilizo bora, katika viwanja vya stendi ya Kilombero jijini Arusha.Picha na Mpigapicha wetu. |
No comments:
Post a Comment