Social Icons

Tuesday, May 16, 2017

TAKUKURU, DStv na MISA WAIPIGA JEKI SERENGETI


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe  akipokea  mchango  wa Shilingi MIllioni Moja  kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  nchini (TAKUKURU) Ailiyowasilishwa  kwa niaba ya Mkurugenzi  wa Idara  yaMaendeleo  ya Michezo  Yusuph Singo .
(Picha na  Shamimu Nyaki WHUSM)

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harriosn Mwakyembe akipokea mchango wa Shillingi Millioni moja kwa ajili ya Serengeti Boys leo Jijini Dar es Salaam kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania Bi. Salome Kitomari.

No comments:

 
 
Blogger Templates