Social Icons

Friday, May 6, 2016

WAZIRI UMMY MWALIMU ALIPOHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WANAWAKE KUHUS MASUALA YA AFYA


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na Wajumbe wa Mkutano wa Viongozi Wanawake katika masuala ya Afya katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam 5 Mei, 2016.




Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mhe. Einar Hebogard Jensen akiongea na Wajumbe wa Mkutano wa Viongozi Wanawake katika masuala ya Afya katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam, 5 Mei, 2016.


Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi, Dkt. Fatuma Mrisho akiongea na Wajumbe wa Mkutano wa Viongozi Wanawake katika masuala ya Afya katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam , 5 Mei, 2016.

No comments:

 
 
Blogger Templates