Social Icons

Tuesday, August 25, 2015

WANANCHI WAMZUIA MGOMBEA MWENZA WA CCM BARABARANI MWANGA

Bi. Samia Othuman Suluhu akipokewa na baadhi ya viongozi na makada wakiwa kwenye mkutano huo.
Bi. Samia Othuman Suluhu akipokewa na baadhi ya viongozi na makada wakiwa kwenye mkutano huoBaadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo. Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huoMjumbe Mkuu wa Baraza Kuu la Wanawake na Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Same, Anjela Kailuki akizungumza alipokuwa anamnadi Bi. Samia Suluhu,  
BAADHI ya wananchi na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamelazimika kuuzuia msafara wa mgombea mwenza wa nafasi ya urais leo alipokuwa njiani akitokea Wilaya ya Same kuelekea Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro huku wakimuomba awasalimu na kuzungumza nao, kabla ya kuendelea na safari yake.

No comments:

 
 
Blogger Templates