Social Icons

Wednesday, May 9, 2012

TBL WAPANDA MITI UDOM

*/

Muwakilishi wa Kampuni ya Bia nchini Kanda ya Kati,Nicksomn Tesha akipanda Mti katika Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini Dodoma mapema leo asubuh
wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo hilo ikiwa ni sehemu ya Utunzaji wa Mazingira.

No comments:

 
 
Blogger Templates