Social Icons

Thursday, April 5, 2012

BAADA YA KUTIMULIWA UBUNGO WAFANYABIASHARA WAISHINIKIZA MANISPAA K'NDONI IWAPATIE ENEO

 Mbunge wa Ubungo John Mnyika akiwasikiliza wafanyabiashara ndogo ndogo  walioenda ofisini kwake  kwa ajili ya kuishinikiza manispaa ya Kinondoni iwapatie maeneo maalum ya kufanyia biashara kutokana na zoezi linaloendelea la kuwaondoa katika maeneo hatarishi ya Ubungo Tanesco(Picha na Abdallah Khamis)

No comments:

 
 
Blogger Templates