Social Icons

Saturday, December 10, 2011

KUTAWALIWA KUBAYA MAMBO YA WAKOLONI HAO WAO WALIKUWA WAKIWANYONGA BABU ZETU HADHARANI KAMA TAWSIRA ISEMAVYO

 Hii picha ilinaswa na blogu ya bongoweekend Jijini mwanza mapema mwaka huu, jamani kutawaliwa kubaya looh nimeona siyo vibaya tuka shea wote kuona mambo ya mkoloni yaani wao walikuwa wakiwaniga mababu zetu katika miti yaani hata kama walikuwa ni wahalifu inauma sana na nimeguswa sana wakati nilipokuwa naperuzi maktaba yangu. 

No comments:

 
 
Blogger Templates