Social Icons

Wednesday, November 30, 2011

BREAKING NEWZZZZZZZZ JERRY MURO ACHIWA HURU

Mwandishi Wa Habari Machachari Jerry Muro akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuachiwa huru.Kushoto ni mke wake Jeniffer.
(Picha na Francis Dande).
BAADA ya misukosuko ya kuandamwa na skendo ya kesi ya rushwa, hatimaye mtangazaji mwenye jina kubwa Bongo, Jerry Cornel Muro AMEACHIWA  HURU leo asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijijini Dar es Salaam.

No comments:

 
 
Blogger Templates