Social Icons

Sunday, October 2, 2011

SHEAR CHARITY BALL 2011 ILIVYOFANA , MOVENPICK DAR ES SALAAM

 MKURUGENZI wa Kampuni ya ShearIllusions Shekha Nasser akitoa hotuba fupi katika usiku wa Tafrija ya Shear Charity Ball 2011, iliyofanyika na kufana kwenye Hoteli ya Movenpick Dar es Salaam,hafla hiyo mahsusi kwa kuchagisha fedha kwa ajili ya kusaidia kina mama wanaoteswa na ugonjwa wa Fistula.Shekha alisema lengo la tafrija hiyo ilikuwa kuchangisha kiasi cha sh. mil50 ambapo lengo limefikiwa na kuvukwa  kwani zimepatikana sh. Mil.56.Pia anawashukuru wadhamini wote waliosaidia kufikia lengo la kupata dedha hizo huku mdhamini mkuu akiwa  ni Kampuni ya Bia ya Serengeti waliotoa sh mil.25 kwa kupitia bia yake ya LAGERTUSKER MALT .  
 MKURUGENZI MTENDAJI wa Kampuni ya Bia Serengeti Richard Wells ambao ndiyo waliokuwa wadhamini wakuu nayeye alipata fursa ya kutoa hotuba fupi.
Shear Charity ball 2011 fundrising  gala to help  Fistula  affected  women and rehabilitation of the water  system  at amana  Municipal hospital
"Ladie & Gentlemen  it ia a plesure to heare at this  fundrising  gala among so many guests  who are  interested  in reflecting  on the  pontential to help  achieve concrete social develeopment goals and improve social and health servises  for the needy".
I'm glad that this gala  aims  at  fundrising money  to facilitate  two  very  important projects . One of which  is the water system at Amana  Municipal Hospital and the other  targeting the treatment  of women  affected  with  Fistula at Comprehensive Community Based  Rehabilitation  in Tanzania (CCBRT). 
 Kutoka kulia ni aliyekuwa mgeni rasi katika tafrija hiyo Dk. Ellen Mkondya Senkoro ambaye ni Ofisa Mtendaji Mwandamizi katika Taasisi isiyo ya Kiserikali ya  (BENJAMIN MKAPA  HIV /AIDS FOUNDATION) , Mwenyekiti wa Kamati iliyoandaa tafrija  hiyo Shekha na mume wa Dk.Senkoro.
                                                                    Wageni waalikwa.
 Kutoka Kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano Kampuni ya Bia Serengeti (SBL),Teddy Mapunda akiwa na wadau wa wengine pamoja na Mkurugenzi wa SBL , Richard Wells wa kwanza kushoto.
 Meza ya waliokuwa kati ya wadhamini kochokocho waliojitokeza kudhamini tafrija hiyo.Wapili kushoto ni MNkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Mama ya Bilicanas Group Dk. Lilian Mbowe na waliosimama ni  Ofisa Masoko muandamizi  Suleiman na Mhariri mtendaji wa Kampuni ya Free Media Absalom Kibanda. 
                                                              TEDDZZZZZZZZZZZ.
 Mwenyekiti wa Kamati  Shekha akitoa hotuba ya shukran kwa wageni waalikwa  na wadhamini.
 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Innocent Mungy akiwa na mwanakamati mwenzake wa tafrija ya Shear Charity Ball 2011 Khadija Kalili. 
                                               CHeeerrsssssssssssss.
 Cheerrsssssssssss.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti ambao pia walikuwa wadhamini wakuu Richard Wells akizungumza katika tafrija hiyo ambapo alitoa hotuba fupi.
 Kulia ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Free Media mbayo inachapisha magazeti ya Tanzania Daima na Sayari Absalom Kibanda akiwakilisha.
 Mgeni Rasmni Dk. Ellen Mkondya Senkoro akitoa hotuba katika tafrija hiyo.
 Mwakilishi kutoka Hospitali ya CCBRT.
 Meza kuu.

 Muhindin Issa Michuzi akiwa na Ainde Ndanshau katika tafrija hiyo .
 Wanakamati  kutoka kulia ni Caroline Daftari, Khadija Kalili na Marisa.
 Hawa ndiyo walio kuwa wanakamati katika tafrija hiyo ya Shear Charity Ball 2011, kutoka kulia niInnocent Mungy, Caroline Daftari, Haika Mawalla, Khadija Kalili , Marisa, Godwin Gondwe hayupo pichani na Austin Makani huku mwenyekiti akiwa ni Shekha.
                             Khadija na Marisa Wanakamati Shear Charity Ball 2011.
 Wasanii kutoka Nyumba ya Vipaji , Tanzania House Of Talent (THT), wakitia nakshi.

 Ofisa Habari  Miss Tanzania  Hidan Rico 'MDAU; akiwa katika picha na warembo wa Miss Tanzania.
 




 Wasanii wa kundi la Mutati 'Mutati Dancers' kutoka Jijini Nairobi Kenya wakidance.




 AAAgghh Mafuru akizitoa za enzi zileee huku Sister Teddzzzzzz akikamua na shosti wake.





 Ofisa Masoko wa Kampuni ya Bia Serengeti Efraim Mafuru na wadau wakikumbukia enzi hapa ilikuwa ni katika miondoko ya Ragga Muffin'.

No comments:

 
 
Blogger Templates