Social Icons

Monday, October 3, 2011

MZIMU WA BONGO DANSI UMEANZA KUTISHA NCHINI SEIRRA LEONE!

Vyombo vya habari nchini Seirra Leone vimeitaja kuwa bendi bora ya kiafrika barani Ulaya !

Wanachi wa Seirra Leone,Afrika magharibi wamejikuta wakikosa usingizi na kushikwa na ugonjwa kupenda mdundo wa mziki wa dansi kutoka Tanzania maarufu kama "Bongo Dansi"

baada ya vituo vya redio vya nchi hiyo kuanza kupiga nyimbo za bendi maarufu ya dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band " aka FFU,pia magazeti ya Seirra Leone kama yanavyoandika http://www.sierraexpressmedia.com/archives/299814 mwaka huu) saa 7 mchana kwa ndege ya Qatar Airways.

No comments:

 
 
Blogger Templates