Social Icons

Tuesday, April 12, 2011

PICHA ZA ZIARA YA MBUNGE DEWJI KUGAWA CHAKULA CHA MSAADA JIMBONI KWAKE.

Mbunge Mohammed Dewji akimkabidhi msaada wa chakula kwa Diwani wa kata ya Uhamaka Ndg. Juma Ntandu (wa pili kushoto)
Mbunge Mohammed Dewji akihutubia wananchi wa kata ya Uhamaka. Picha zote na mdau Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
www.mohammeddewji.com/blog

Mbunge Dewji akimkabidhi Diwani wa kata ya Mwankoko Hamisi Nkulungu (wa pili kushoto) msaada wa chakula.

Mbunge Dewji akimkabidhi Diwani wa kata ya Mwankoko Hamisi Nkulungu (wa pili kushoto) msaada wa chakula.

No comments:

Blogger Templates