Social Icons

Monday, January 31, 2011

MAMBO YA NYENJE JUMAMOSI

Baada ya kutoka katika miselebuko ya bendi ya Wazee Sugu Le Capital ,Nami nikajitupia Njenje kumalizia wikiendi yangu.
Mmoja wa Wakurugenzi wa bendi ya The Kilimanjaro ambayo ni bendi konge nchini na yenye historia ya peke yake ikiwa ni pamoja na kutokimbiwa na wasanii wake albamu zake kuchagiza na kubamba kila kunapokucha ubora wake uko palepale.
Ukafika wakati wa kuonyesha nyonga za kila Mkoa huyu dada akaonyesha swaga za Singida.
Haya nayo mambo ya Tanga, pia walikuwepo kina dada kutoka Kigoma, Tabora na hata Kilimanjaro wote walionyesha umahiri wa kukata nyonga zao.
Mbuifu wa mitindo nchini Asia Idarous na mumewe Bw.Hamsini ambapo walitua siku hiyo kutoka vekesheni nchini Marekani, Asia alining'ata sikio na kusema wadau wajitayarishe kwa onyesho lake la Lady In Red,litakalofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro Kempinsi Februari 12.
Babu Njenje.
Kepi huimba na kupapasa gitaa.

1 comment:

Anonymous said...

you look so sex baby, you lock me today babyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy. ahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh nitakupata wapi weeweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nikubusu tu mara moja jamani haya anafaidi.

 
 
Blogger Templates