Social Icons

Thursday, January 27, 2011

JIJI NG'OENI MABANGO HAYA TASWIRA HII HAIPENDEZI

Kutokana na sababu ambazo hazijawekwa wazi labda ni kupitwa na muda wa matangazo haya hivi sasa karibu mabango yoote ambayo yapo kando kando ya barabara za Jijini Dar es Salaam yameekewa alama ya X ikimaaniasha yaondolewe lakini inavyofahamika ni kwamba mwenye tangazo akishalipia gharama za tangazo katika sehemu husika na kupewa kibali cha kuweka tangazo lake huwawanalipa gharama za uondoaji wa mabango kazi inayofanywa na Jiji lakini katika hali isiyo ya kawaida hayangolewi na kuwa sawa na uchafu kwa kutoondolewa.Hapa ni Bara bara ya Ali Hassan Mwinyi njia panda kwenda Leaders Club Kinondoni.

No comments:

 
 
Blogger Templates