Social Icons

Monday, August 23, 2010

HAPPY BIRTHDAY DEAR ASHRAF

Pichani ni Ashraf Ahmed akiwa katika pozi ambapo ametimiza umri wa miaka (10) .Anatoa shukrani kwa mama Khadija na Baba Ahmadou.Na wote wanaomzunguka katika maisha yake ya kila siku bila kumsahau babu yake Alhaj Shaaban H. Kalili wa Wipaz , Kibaha.
Watoto Abdilah na MariamRhumbu niliwatembelea nyumbani kwao mwisho wa wiki.
Mwisho wa wiki mimi na mdogo wangu Latipha tulikwenda kufanya ibada ya kutembelea kaburi la marehemu mama yetu lililopo Kibaha Pwani , hii ni kufuatana na hadithi moja ya Mtume Muhammad S.A.W aliyoitoa kwa masuhaba zake kwamba ni ibada kutembelea makaburi ya wapendwa wenu hata kama itakuwa ni usiku wa manane (Bukhari na Muslim), ambapo pia tulisoma dua pamoja na kulisafisha Inshaallah tutalijenga hivi karibuni.Inna lillah Wainna Ilaihi Rajiuun.

1 comment:

Anonymous said...

Inshaallah Mwenyeezimungu atamuweka pema mumy wenu, ushauri wangu Khadija mpenzi usilijengee kaburi hivo lilivyo liko ok mana dini yetu ya kiislam hatupaswi kujengea makaburi isipokuwa sisi tu tunawaiga wenzetu, muulize mtu yeyote anaejua dini atakwambia, ni ushauri tu mpenzi wangu i hope utanielewa.

Hiyo pesa mnayotaka kuitumia kujengea kaburi ipelekeni either katika moja ya misikiti inayojengwa au kunapochimbwa kisima halafu hiyo itakuwa Sadakatul-Jaria yake ambayo atakuwa anapata thawabu kila siku iendayo kwa Mungu. Think about that sweetheart.

 
 
Blogger Templates