Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, akipokewa na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Jijini Stockholm alipoingia ofisini kwa mara ya kwanza .
Mapokezi hayo yamefanyika Mei 5, 2025 mbali ya Sweden, Balozi Matinyi ataiwakilisha pia Tanzania katika nchi za Sweden, Norway, Denmark, Finland, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine (Picha na Ubalozi, Stockholm).
0 Comments