MJUMBE
wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Waziri wa Habari, VIjana,
Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akimkabidhi cheti
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Kawe, Benjamin Joseph, alipotoa
vyeti kwa wahitimu wa semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata zote
za Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, mwishoni mwa semina hiyo, leo
Desemba 19, 2013, katika ukumbi wa Hioteli ya Road View, nje kidogo ya
mji wa Morogoro. Wengine kutoka wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM,
wilaya ya Kinondoni Salum Madenge na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi
wilaya hiyo, Charles Mgonja. Jumla ya wahitimu 31 walitunukiwa vyeti
baada ya kuhitimu semina hiyo. Picha na Bashir Nkoromo.
KATIBU MKUU CCM AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA JUMUIYA YA MADOLA.
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Asha-Rose Migiro, leo tarehe
15 Aprili 2026 amefanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa
Jumuiya...
1 hour ago

0 Comments