KARIBUNI KATIKA BLOG YA WANAFUNZI WOTE POPOTE TANZANIA (MATUKIO NA WANAVYUO

KWANZA TUNAPENDA SANA KUWASALIMU NYOTE HABARI ZENU? TUNATUMAINI YA KWAMBA MTAKUWA NI WAZIMA WA AFYA NJEMA SISI PIA TUPO SALAMA KABISA. HONGERENI SANA KWA  KAZI NZURI MNAZOFANYA. TUANZE KWA KUJITAMBULISHA SISI NI WANAVYUO AMBAO TUMEKUTANA NA TUKAAMUA KUWAKUTANISHA WANAVYUO WOTE WASOMAO TANZANIA PIA KUTOA TAARIFA MBALI MBALI ZA VYUO KUPITIA MTANDAO HUU MPYA TULIO UANZISHA UNAKWENDA KWA JINA LA MATUKIO NA WANAVYUO. TULIKUA TUNAOMBA MSAADA WENU WA KUTUTAMBULISHIA ILI WADAU WOTE WAPATE KUUTAMBUA TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU
Kwanza tunapenda kuwasalimu sana Ndugu walimu na wanafunzi na wadau wote mliopo popote nchini Tanzania na Duniani kwa ujumla, Kwa heshima na Taadhima tunapenda kuwatambukisha kwenu Blog mpya kabisa inayo kwenda kwa jina la MATUKIO NA WANAVYUO ambapo lengo kubwa ni kuwakutanisha wanavyuo wote Nchi nzima na kubadilishana mawazo pia kujua nini kinaendelea kila wakati kupitia mtandao huu, Hatuna mengi sana ya kuandika hapa kwa maana mtandao wenu unajieleza vizuri kabisa, pia mtandao huu ni wanavyuo wote waliopo vyuoni sasa na wale walio maliza pia ni wa watanzania wote kwa ujumla kwa maana kuna mambo yanayo wahusu na muhimu. Tunawaomba mpitie kila kona ya mtandao huu na kutoa maoni kama yapo nini kiongezwe ama kuboreshwa zaidi, Tunawakumbusha tena mtandao huu ni wako. sisi tunaongoza tuu kwa mawasiliano zaidi tutumie Barua pepe kupitia
( twanavyuo@live.com)
tunatanguliza  shukrani zetu pia atakae pata taarifa hii ampe na mwenzake
Asanteni sana.
Matukio na wanavyuo Crew
KUTEMBELEA MTANDAO HUU BOFYA HAPA
http://tzwanavyuo.blogspot.com/

Post a Comment

0 Comments