Social Icons

Monday, March 5, 2018

MDAHALO WA KUWANIA KITI CHA URAIS JUMUIYA YA WATANZANIA DMV

Huu ni Mdahalo wa Sehemu ya kwanza kati ya mbili zijazo, wa kugombania kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Urais kupitia Jumuiya ya Watanzania waishio DMV, ulioandaliwa na Tume ya Uchaguzi, Siku ya Jumamosi March 3, 2018 katika ukumbi wa Indiana Springs Terrance Local Park Sliver Spring Maryland Nchini Marekani.

No comments:

 
 
Blogger Templates