Social Icons

Saturday, May 6, 2017

RC GAMBO AWALILIA WATOTO 32 WALIOFARIKI KWA AJALI KARATU

Pichani wanafunzi wa Shule hiyo wakiwa na nyuso za hudhuni baada ya kupokea taarifa za ajali iliyochukua uhai wa wenzao.

Mwanafunzi mmoja aliyenusurika kwenye ajali hiyo  jina halikufahamika.
Mzazi wa mmoja wa marehemu akilia kwa uchungu.

Baadhi ya watu wakishuhudia basi hilo likiwa limetumbukia  kwenye bonde,pia wakitoa msaada,
Baadhi ya miili ya wanafunzi hao walifariki  kwenye ajali hiyo.
Hili ni kati ya mabasi ya shule hiyo ya Lucky Vincent  lililokuwa kwenye msafara huo.
Blog hii inatoa mkono wa pole  kwa wazazi wote wa marehemu waliopiteza watoto wao, Mungu azilaze roho zote  mahala pema peponi Amin.

No comments:

 
 
Blogger Templates