Social Icons

Friday, April 14, 2017

TASNIA YA HABATI YAPATA PIGO, ISANGO AMEFARIKI DUNIA LEO

Mwanahabari Josephat Isango amefariki  dunia  leo saa moja asubuhi Mkoani Singida baada ya kuumwa kwa muda mfupi.

Marehemu Isango atakumbukwa  kutokana na mchango wake mkubwa katika uandishi wa habari za siasa   na  jamii kwa ujumla.Nyota ya fani ya uanahabari ilishamiri alipokuwa ameajiriwa na Kampuni ya Free Media Limited ambao ni Wachapishaji wa gazeti la Tanzania Daima na baadaye alihamia gazeti la Mwana halisi.Mazishi ya Isango yatafanyika  Jumamanne  Mkoani Singida.

No comments:

 
 
Blogger Templates