Social Icons

Tuesday, April 11, 2017

ANDENGENYE AAHIDI KUBORESHA HUDUMA WANAZOZITOA


Mkuu wa Jeshi la Zima Moto na Uokoaji Kamishna Jenerali Thobias Andengenye akizungumza na waandishi wa habari  leo Jijini Dar es Salaam  hawapo pichani kuhusu mikakati ya Jeshi hilo kuboresha huduma wanazotoa katika maeneo yote hapa nchini ikiwa ni sehemu ya maboresho ya kiutendaji.

Kushoto ni Afisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari MAELEZO Casmir Ndambalilo na Kulia ni Msemaji wa Jeshi hilo Mrakibu Msaidizi Puyo Nzalayaimisi
Alisema  umuhimu wa wananchi kutoa taarifa za matukio ya moto na ajali kwa wakati ili hatua za uokoaji ziweze kuchukuliwa kwa wakati muafaka.

Andengenye amesisitiza  kuhusu mikakati ya Jeshi hilo kuboresha huduma wanazotoa kwa kushirikisha wadau wa Maendeleo.

No comments:

 
 
Blogger Templates