Social Icons

Wednesday, March 15, 2017

QUALITY GROUP LIMITED YAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI VITA DHIDI YA RUSHWA

 Ofisa Mtendaji Mkuu  wa Kundi la Kampuni za Quality Group Limited (QGL), Nicholas Ralph akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuunga mkono jitihada za Rais John Magufuli katika mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na juhudi za kuliletea Taifa maendeleo endelevu katika nyanja mbalimbali. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Ralph akielezea jinsi uongozi ulivopanga mikakati ya kuboresha kampuni zilizopo na kuanzisha nyinginezo nchini na nje ya nchi.Wanahabari  kutoka katika vyombo mbalimbali wakifuatilia mkutano huo.

No comments:

 
 
Blogger Templates