Social Icons

Monday, March 6, 2017

NAPE AFUNGA FAINALI KOMBE LA ULEGA MKUNGANGA

Baadhi wa Wakazi wa Mkuranga Mkoani pwani wakishiriki zoezi la uchangiaji damu 05/03/2017 wakati wa fainali za Kombe la Ulega lililoandaliwa na Mbunge wa Wilaya hiyo, Mhe. Abdallah Ulega.

Baadhi wa Wakazi wa Mkuranga Mkoani pwani walioshiriki zoezi la uchangiaji damu 05/03/2017 wakati wa fainali za Kombe la Ulega lililoandaliwa na Mbunge wa Wilaya hiyo, Mhe. Abdallah Ulega wakipokea zawadi za jezi na doti za khanga ikiwa ni sehemu za motisha.

Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega (aliyevaa tisheti la bluu) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wakazi wa Mkuranga Mkoani pwani walioshiriki zoezi la uchangiaji damu 05/03/2017 wakati wa fainali za Kombe la Ulega lililoandaliwa na Mbunge wa Wilaya hiyo



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwasalimia wachezaji wa timu ya mpira ya Kisiju wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwasalimia Waamuzi wa mpira wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (katikati) akiteta jambo na Mbunge wa Mkuranga, Mhe. Abdallah Ulega wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akimpongeza Mbunge wa Mkuranga, Mhe. Abdallah Ulega kwa juhudi zake za muleta maendeleo kaaika jimbo lake na udahmini wake wa kuanzisha Kombe la Ulega ambapo fainali za kombe hilo zimefanyika jana 05/03/2017 Wilayani hapo.

Mbunge wa Mkuranga, Mhe. Abdallah Ulega akiongea na wageni waalikwa pamoja na wakazi wa wilayani hapo kuhusu maendeleo ya jimbo lake na lingo la kuanzisha Kombe la Ulega ambapo fainali za kombe hilo zimefanyika jana 05/03/2017 Wilayani hapo.



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kisiju Wilayani Mkuranga wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Tengelea Wilayani Mkuranga wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.
Timu za moira za Kisiju na Tengelea wakichuana kuwania kombe la Ulega lililoandaliwa na Mbunge wa Mkuranga, Mhe. Abdallah Ulega ambapo fainali hiyo imechezwa jana 05/03/2017 Wilayani hapo.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye pamoja na wageni engine walioalikwa wakifuatilia mpambano kati ya Timu ya mpira ya Kisiju na Tengelea wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.

(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM)

No comments:

 
 
Blogger Templates