Social Icons

Thursday, March 16, 2017

MAPITIO YA MKATABA KATI YA TBC NA STARTIMES KUMALIZIKA APRILI


Mkurugenzi wa Shirika la la Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt. Ayoub Riyoba(aliyesimama) akieleza utendaji kazi wa Shirika kwa Kamati ya Bunge ya maendeleo ya Jamii wakati kamati hiyo ilipotembelea TBC leo Jijini Dar es Salaam.

Kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye na kulia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Zungu. 

No comments:

 
 
Blogger Templates