Social Icons

Monday, February 20, 2017

BURIANI BLOGGER CHINGAONE

Aliyewahi kuwa muendeshaji wa Blog ya Chingaone Jeniffer Livigha amefariki dunia leo.
Katika enzi za uhai wake marehemu licha ya kuwa Blogger pia alikuwa mwajiriwa wa kituo cha kulelea watoto yatima cha 'SOS Children'. Kilichopo Jijini Dar es Salaam.Pia alikuwa mwanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN).
Blog hii inaungana na familia yake katika kipindi hiki cha majonzi, poleni familia ya Chingaone, Poleni wanachama wa TBN.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

No comments:

 
 
Blogger Templates