Social Icons

Thursday, January 5, 2017

TUTAPAMBANA NAWANAOENDELEZA VITENDO VYA KUKEKETA WATOTO

Mkurugenzi wa Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga) Sister Stella Mgaya akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga alipofika wakati wa mahafali ya wasichana 46 waliokimbia ukeketaji.

Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akisaini kitabu cha wageni alipofika katika Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga) pembeni ni Mkurugenzi wa Kituo hicho Sister Stella Mgaya.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akitembelea maeneo mbalimbali katika Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga).
Baadhi ya watoto waliokimbia ukeketaji wakiwa katika maandano kuelekea eneo walilofanyia mahafali.

No comments:

 
 
Blogger Templates