Social Icons

Saturday, January 7, 2017

JENGO LA CLUB BILICANAS LAVUNJWA

 Jengo la Club Bilicanas JIjini Dar es Salaam  limeanza kung'olewa paa lake hali ambayo  imeashiria kwamba  jengo hilo  ambalolilikua na Club  matata ya burudani  ambayo ilijizokea sifa na umarufu katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati kubaki historia

Hatua hiyo ya  ubomoaji  imekuja baada ya mmiliki halali NHC , kushinda kesi iliyofunguliwa na Mbowe Hotels ambao walikuwa wapangaji wa muda mrefu kwenye jengo hilo  waliokuwa wakipinga kundolewa  katika jengo hilo ambapo mbali ya kuendesha Club Bilicanas pia kulikuwa na ofisi za gazeti la Tanzania Daima.
Jinsi jengo hilo linavyoonekana  huku ubomoaji ukiendelea.

No comments:

 
 
Blogger Templates