Saturday, January 7, 2017
ASHA BARAKA: ALLY CHOKI BADO YUPO YUPO SANA TWANGA
Mkurugenzi na mmiliki wa bendi ya The African Stars 'Twanga Pepeta' Asha Baraka pichani juu amekanusha vikali uvumi wa habari kwamba msanii wake galacha wa bendi hiyo Camarade Ally Choki kaondoka Twanga Pepeta.
Akizungumza na Bongoweekend , Asha anasisitiza kwa kusema kuwa Choki alisaini mkataba na Kampuni inayomiliki bendi hiyo African Stars Entertainment (Aset),2015 na mkataba huo utafikia ukomo mwaka 2018 hivyo hizo habari za kuondoka kwake hazina ukweli wowote zipuuzwe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment