Social Icons

Sunday, December 25, 2016

MWANAHABARI NGULI MPOKI BUKUKU KUAGWA KESHO

  Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Mpoki Bukuku  Tabata Bwawani, Jijini  Dar es Salaam ikiwa ni katika kuwafariji ndugu na  jamaa wa familia aliyoiacha.

Baadhi ya waombolezaji hao  yumo Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe aliyekaa katikati.

Marehemu  katika enzi za uhai wake alikuwa  MpigaPicha Mwandamizi wa  Kampuni ya The Guardian, Limited  , mwili wake utaagwa kesho  ambapo ratiba inaonesha  kuanza saa sita na nusu mchana  ambapo mwili wake utatolewa heshima za mwisho  Tabatana baadaye kutasafirishwa  kwa ajili ya mazishi  Mnadani Mkoani Dodoma.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amen.

 Mtangazaji Mwandamizi wa Shirika la Habari Tanzania TBC , Angela Michael akisaini kitabu cha maombolezo  nyumbani kwa marehemu  Mpoki Bukuku .
Bloggers Cuthbert Kajuna wa Kajunason Blog akiwa sambamba na John Bukuku wa Fullshangwe Blog.

No comments:

 
 
Blogger Templates