Social Icons

Saturday, August 20, 2016

TANZIA BI SHAKILA SAID AFARIKI DUNIA, ATAZIKWA LEO TANGA

TANZIA... BI SHAKIRA SAID MWANAMUZIKI MKONGWE WA TAARAB AMEFARIKI GHAFLA JANA USIKU MUDA  MFUPI  MARA BAADA YA KUMALIZA KUSWALI NYUMBANI KWAKE MBAGALA CHARAMBE... AMEANGUKA GHAFLA ALIKUA HAUMWI.. MAREHEMU ATAKUMBUKWA KWA WIMBO MAARUFU  'MACHO YANALIA'.
HABARI ZIMETHIBITISHWA NA RSAIS WA SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA  ADDO NOVEMBER  tuwasiliane kwa 0754396367.

No comments:

 
 
Blogger Templates