Social Icons

Tuesday, July 12, 2016

WAZIRI NAPE NNAUYE AZINDUA MIRADI NANE INAYOFADHILIWA NA TANZANIA MEDIA FOUNDATION


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akipokea bahasha yenye mafanikio ya Tanzania Media Foundation ambayo yamefanywa nchini katika kuwajengea uwezo Waandishi wa habari toka kwa Mkurugenzi wa Tanzania Media Foundation, Bw. Ernest Sungura 12 Julai, 2016 jjijjini Dar es Salaam.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akipokea zawadi ya bango la picha zilizopigwa na baadhi ya Waandishi wa Habari waliowahi kujengewa uwezo na Tanzania Media Foundation toka kwa Mkufunzi wa Picha, Bw. Mwanzo Millinga 12 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam.

No comments:

 
 
Blogger Templates