Social Icons

Saturday, July 16, 2016

TUTAPAMBANA WASANII MPATE HAKI ZENU : NAPE NNAUYE


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Mkurugenzi wa Steps Entertainment Bw. Delish Solanki wakati akiwasili katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam kuzindua filamu ya Sikitu Julai 15, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam kuzindua filamu ya Sikitu Julai 15, 2016.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na muigizaji mkongwe nchini na mmoja ya waigizaji katika filamu ya Sikitu Amir Athumani ‘King Majuto” wakati akiwasili katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam kuzindua filamu ya Sikitu Julai 15, 2016.

Mkurugenzi wa Steps Entertainment  Delish Solanki akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akiwasili katika uzinduzi wa  filamu ya Sikitu katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam jana usiku  Julai 15, 2016.

No comments:

 
 
Blogger Templates