Social Icons

Monday, June 6, 2016

TASWIRA MBALIMBALI ZA MKUTANO WA MWAKA WA TANAPA 2016

Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe akihutubia wanahabari na wadau wa sekta ya utalii wakati akifungua mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali mjini Morogoro leo asubuhi.
Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe akihutubia wanahabari na wadau wa sekta ya utalii wakati akifungua mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali mjini Morogoro leo asubuhi.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Alan Kijazi, akihutubia wanahabari na wadau wa sekta ya utalii wakati akifungua mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali mjini Morogoro leo asubuhi. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Alan Kijazi, akihutubia wanahabari na wadau wa sekta ya utalii wakati akifungua mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali mjini Morogoro leo asubuhi.Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Pascal Shelutete (kushoto) akisoma utratibu kwa wanahabari katika mkutano wa mwaka kati ya shirika hilo na wahariri, wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari unaofanyika mjini Morogoro. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Pascal Shelutete (kushoto) akisoma utratibu kwa wanahabari katika mkutano wa mwaka kati ya shirika hilo na wahariri, wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari unaofanyika mjini Morogoro.Sehemu ya wahariri, wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai katika ukumbi wa VETA mjini Morogoro. Sehemu ya wahariri, wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai katika ukumbi wa VETA mjini Morogoro.Sehemu ya wahariri, wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai katika ukumbi wa VETA mjini Morogoro. Sehemu ya wahariri, wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai katika ukumbi wa VETA mjini Morogoro.Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Pascal Shelutete (kushoto) akisoma utaratibu kwa wanahabari katika mkutano wa mwaka kati ya shirika hilo na wahariri, wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari unaofanyika mjini Morogoro. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Pascal Shelutete (kushoto) akisoma utaratibu kwa wanahabari katika mkutano wa mwaka kati ya shirika hilo na wahariri, wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari unaofanyika mjini Morogoro.Sehemu ya wahariri, wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai katika ukumbi wa VETA mjini Morogoro. Sehemu ya wahariri, wanahabari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai katika ukumbi wa VETA mjini Morogoro.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Kebwe Stephen Kebwe akizungumza na wanahabari katika mkutano huo wakati akimkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe kuhutubia. 

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Kebwe Stephen Kebwe akizungumza na wanahabari katika mkutano huo wakati akimkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe kuhutubia.
_______________________________________________________________________________ Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com. Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470 Web:- www.thehabari.com http://joemushi.blogspot.com

No comments:

 
 
Blogger Templates