Social Icons

Monday, May 30, 2016

TAARIFA YA MSIBA :JACKLINE OSWALD KAPINGA AMEFARIKI DUNIA                               MAREHEMU JACKLINE OSWALD KAPINGA

Familia ya Marehemu Mzee Oswald Kapinga ya Sinza - Dar e salaam (karibu na  white inn) inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Jacqueline kilichotokea jana tarehe 29/05/2016 katika hospitali ya muhimbili jijini Dar es salaam.

Familia inapenda kuwajulisha ndugu, jamaa na marafiki ya kuwa, msiba utakuwa nyumbani kwa wazazi wake hapo Sinza.

Taratibu za mazishi zinaendelea kufanyika, taarifa ya awali kutoka kwa familia, Marehemu wanategemea kumuhifadhi kwenye nyumba yake ya milele siku ya kesho Jumanne  Tarehe 31/05/2016 katika makaburi ya Sinza karibu na Ukumbi wa Mwika kuanzia saa 8.00 Mchana.

Kwa taarifa zaidi na maelekezo mbali mbali unaweza kuwasiliana na makaka wa marehemu hapo chini:
 JOSEPH O. KAPINGA (Mwananchi communication)  - 0788617654
 GOSBERT O. KAPINGA - 0754286301
 BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,
JINA LAKE LIHIMIDIWE
                                                                           AMEN.

No comments:

 
 
Blogger Templates