Social Icons

Wednesday, May 4, 2016

PRESS CONFERENCE KUHUSU VIDEO YA CHURA ULIOREKODIWA NA SNURA MUSHI

TANGAZO:

 Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Tarehe 4/5/2016 saa 5:00 Asubuhi itaongea na wanahabari kuhusu video ya snura iitwayo chura katika ukumbi wa Wizara uliopo ghorofa ya tisa kwenye jengo la Golden Jubilee Tower.

 Wanahabari mnakaribishwa

No comments:

 
 
Blogger Templates