Social Icons

Monday, May 30, 2016

DStv YAKUTANISHA WADAU KILELE CHA SIKU YA AFRIKA JIJINI DAR ES SALAAM


 
 Sehemu ya Watendaji wakuu wa Kampuni ya MultiChoiche Tanzania wakiongozwa na Mtendaji Mkuu wao, Francis Senguji (wa pili kushoto) wakiwa katika tafrija ya kuadhimisha siku ya Afrika, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya New Afrika, Jijini Dar es salaam.
 Meneja Masoko wa Kampuni ya MultiChoiche Tanzania, Furaha Samalu akizungumza machache katika tafrija hiyo ya kuadhimisha siku ya Afrika, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya New Afrika, Jijini Dar es salaam.
 Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya MultiChoiche Tanzania, Francis Senguji akizungumza machache katika tafrija hiyo ya kuadhimisha siku ya Afrika, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya New Afrika, Jijini Dar es salaam. Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo, Furaha Samalu.
 Burudani ya Kiafrika ikitolewa.
 Mshehereshaji katika Tafrija hiyo, Masoud Kipaya (kati) pamoja na Meneja Masoko wa Kampuni ya MultiChoiche Tanzania, Furaha Samalu, wakimsikiliza Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Shilole wakati akimtangaza mmoja wa washindi wa Dikoda ya DSTV Exprola.
 
Washindi wa Dikoda za DSTV Exprola kwa usiku huo walikuwa ni Mmiliki Mwendeshaji wa Libeneke la Full Shangwe Blog, John Bukuku na Mwanadada Latoya aliewahi kuwa Mshiriki wa Shindano la Big Brother Afrika miaka ya nyuma.

Hapa MC Massoud Kipanya akimpa bakuli msanii Richie achaguo kikaratasi kimoja tu  chenye jina la mshindi  , kushoto anayeshuhudia ni msanii JB na kulia  msanii Irene Uwoya.
Ofisa Masoko wa DStv Baraka Shelukindo  akikabidhi zawadi  ya king'amuzi.
Aliyekuwa MC kwenye hafla hiyo Massoud Kipanya  akitembeza bakuli lenye vikaratasi vilivyoandikwa majina   ili kupata washindi kwenye bahatinasibu hiyo.
Meneja Uhusiano  na Masoko Furaha Samalu  akimkabidhi zawadi ya Kitenge  Othman Michuzi.
Meneja Uhusiano  na Masoko DStv Futaha Samalu akimkabidhi zawadi ya kitenge Mtangazaji wa EFm Redio Iibrahim Massoud (Mestro).
Meneja Uhusiano  na Masoko DStv Furaha Samalu akimkabidhi zawadi ya kitenge msanii Irene Uwoya.
Meneja Uhusiano na Masoko Furaha  Samalu DStv , Dada Levina Bandhai kutoka  DStv na mdau wa Fullshangwe Blog John Bukuku wakiserebuka
MC wa shughuli hiyo Massoud Kipanya akizungumza jambo
Othman Michuzi Editorial Director & Chief Photographer
 CELL: +255 713 775869 /+255 789 103610
 WEB: issamichuzi.blogspot.com 
 othmanmichuzi.blogspot.com 
michuzijr.blogspot.com

No comments:

 
 
Blogger Templates