Social Icons

Wednesday, May 6, 2015

SHAMRA SHAMRA ZA MAANDAMANO YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI ZILIVYOFANA MJINI MUSOMA

SHAMRA SHAMRA ZA MAANDAMANO YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI ZILIVYOFANA MJINI MUSOMA



DSC_0056
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi mkoani Mara wakijiaanda kuanza maandamano kutoka Hospitali Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika wilayani Musoma.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
DSC_0060
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi wilayani Musoma wakiwa wamekusanyika nje ya Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara kwa ajili ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma kwenye viwanja vya Mkendo, mkoani Mara.
DSC_0083
Pichani juu na chini ni baadhi ya Wakunga kutoka mikoa mbalimbali ya nchini wakijumuika na wenyeji wao kwenye maandamano ya maadhimisho hayo.
DSC_0086
DSC_0103
Baadhi ya Wakunga wakijumuika na wakinama wa mjini Musoma njiani kuelekea kwenye viwanja vya Mkendo wakati maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wakunga duniani burudani ya matarumbeta yaliyokuwa yakishereheshe maandamano hayo.
DSC_0108
Wakunga wa kiume kutoka wilaya ya Serengeti wakiwa wamejumuika na wenyeji wao kwenye maandamano hayo.

No comments:

 
 
Blogger Templates