Social Icons

Monday, March 30, 2015

MATEMBEZI YA HAMASA KUPIGA VITA MAUAJI YA ALBINO - IMETOSHA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr, Balozi wa Harakati ya Imetosha, Henry Mdimu, Mwakilishi wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Abdillah Omar sambamaba na wadau wengine wakishiriki kuimba wimbo 'Tanzania Tanzania' kabla ya kuanza kwa shughuli nzima ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini, iliyofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam. 
 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Matembezi ya Hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini (Imetosha), Ally Masoud "Kipanya" akiwa katika matembezi hayo.





 Maandamano yakiendelea katika barabara ya Kawawa Jijini Dar es Salaa.

Mwenyekiti wa Kampeni ya Imetosha  Masuod Kipanya akizungumza jambo huku Balozi wa kujiteua wa Kampeni hiyo kutoka Taasisi ya Imetosa  Henry Mdimu akimsikiliza.

No comments:

 
 
Blogger Templates