Social Icons

Thursday, October 2, 2014

KOCHA SAID CHAKU AMNOA AZIZI RASHIDI KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA AZIZI ABDALLAH SIKU YA NYERERE DAY

Kocha  wa mchezo wa ngumi Said  chaku kulia akiwaelekeza mabondia wa Gongolamboto jinsi ya kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana wakati wa mazoezi ya klab hiyo jana Picha na SUPER D BLOG





Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Said Chaku kulia akimwelekeza jinsi ya kupiga makonde bondia Azizi Rashidi anayejitaalisha kwa ajili ya mpambano wake na Azizi Abdallah mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika Picha na SUPER D BLOG

 
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Said Chaku kulia akimwelekeza jinsi ya kupiga makonde mazito bondia Azizi Rashidi anayejitaalisha kwa ajili ya mpambano wake na Azizi Abdallah mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika Picha na SUPER D BLOG



Kocha  wa mchezo wa ngumi Said  chaku kulia akiwaelekeza bondia Mussa Mgosi  wa klab ya  Gongolamboto jinsi ya kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana wakati wa mazoezi ya klab hiyo jana Picha na SUPER D BLOG

No comments:

 
 
Blogger Templates