Social Icons

Tuesday, May 6, 2014

NAIBU WAZIRI MAKONGORO MAHANGA ATOA TIKETI KWA WANANCHI 6, KUPITIA BRAVO JOB CENTER


 Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akifafanua Jambo kwa  Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga, kabla ya kukabidhi tiketi kwa wananchi waliopata kazi Dubai kupitia  kampuni ya Bravojobc Dar es Salaam jana (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujiji rahaa.
 Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga akiongea  na wananchi  waliofanikiwa kupata kazi Dubai kupitia  kampuni ya Bravojobc Dar es Salaam jana ,kabla ya kuwakabidhi Tiketi hizo,ambao wikiwa wavulana 4 na wasichana 2 na mmoja anatarajiwa kuondoka Aprli 5 mwaka huu   
 Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga akimkabidhi Tiketi mmoja wa mwananchi aliye fanikiwa kupata kazi Dubai kupitia  kampuni ya Bravojobc Dar es Salaam jana
 Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga akimkabidhi Tiketi Mwajuma  Hamisi Kweli,   mmoja wa mwananchi aliye fanikiwa kupata kazi Dubai kupitia  kampuni ya Bravojobc  Dar es Salaamn jana
 Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga akimkabidhi Dominatha Alex, Tiketi mmoja wa mwananchi aliye fanikiwa kupata kazi Dubai kupitia  kampuni ya Bravojob Dar es Salaam
  Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu na Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga katika picha ya pamoja  na wananchi hao kuwakabidhiTiketi
 Picha ya pamoja na wafanyakazi wa Bravojobc na wananchi na wazazi wao 

No comments:

 
 
Blogger Templates